Eze. 5:6 SUV

6 Nao umeasi hukumu zangu, kwa kutenda mabaya kuliko mataifa hayo, nao umeasi sheria kuliko nchi hizo ziuzungukazo; maana wamezikataa hukumu zangu, wala hawakuenda katika sheria zangu.

Kusoma sura kamili Eze. 5

Mtazamo Eze. 5:6 katika mazingira