Eze. 6:12 SUV

12 Yeye aliye mbali sana atakufa kwa tauni; na yeye aliye karibu atakufa kwa upanga; na yeye atakayesalia, na kuhusuriwa katika mji, atakufa kwa njaa, hivyo ndivyo nitakavyoitimiza ghadhabu yangu juu yao.

Kusoma sura kamili Eze. 6

Mtazamo Eze. 6:12 katika mazingira