Eze. 6:14 SUV

14 Nami nitanyosha mkono wangu juu yao, na kuifanya nchi kuwa maganjo, tena ukiwa mbaya kuliko jangwa upande wa Dibla, katika makao yao yote; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 6

Mtazamo Eze. 6:14 katika mazingira