Eze. 6:4 SUV

4 Na madhabahu zenu zitakuwa ukiwa, na sanamu zenu za jua zitavunjika; nami nitawatupa wana wenu waliouawa mbele ya vinyago vyenu.

Kusoma sura kamili Eze. 6

Mtazamo Eze. 6:4 katika mazingira