Eze. 7:11 SUV

11 Udhalimu umeinuka, ukawa fimbo ya uovu; hapana mtu atakayesalia miongoni mwao, wala katika jamii yao, wala kitu katika utajiri wao; wala hakutakuwa kutukuka kati yao.

Kusoma sura kamili Eze. 7

Mtazamo Eze. 7:11 katika mazingira