Eze. 7:13 SUV

13 Kwa maana auzaye hatakirudia kilichouzwa, wajapokuwa wangali hai; kwa sababu maono haya yawahusu wote jamii; hapana mmoja atakayerudi; wala hapana mtu atakayejitia nguvu katika uovu wa maisha yake.

Kusoma sura kamili Eze. 7

Mtazamo Eze. 7:13 katika mazingira