Eze. 7:15 SUV

15 Upanga uko nje, na tauni na njaa zimo ndani; yeye aliye nje mashambani atakufa kwa upanga; na yeye aliye ndani ya mji, njaa na tauni zitamla.

Kusoma sura kamili Eze. 7

Mtazamo Eze. 7:15 katika mazingira