18 Tena watajifungia nguo za magunia, na utisho utawafunika; na aibu itakuwa juu ya nyuso zote, na upaa juu ya vichwa vyao vyote.
Kusoma sura kamili Eze. 7
Mtazamo Eze. 7:18 katika mazingira