Eze. 7:4 SUV

4 Jicho langu halitakuachilia, wala sitaona huruma; bali nitakupatiliza njia zako, na machukizo yako yatakuwa katikati yako; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 7

Mtazamo Eze. 7:4 katika mazingira