Eze. 7:8 SUV

8 Basi hivi karibu nitamwaga ghadhabu yangu juu yako, nitazitimiza hasira zangu juu yako, nami nitakuhukumu sawasawa na njia zako; nami nitakupatiliza machukizo yako yote.

Kusoma sura kamili Eze. 7

Mtazamo Eze. 7:8 katika mazingira