Eze. 8:11 SUV

11 Na watu sabini wa wazee wa Israeli walikuwa wamesimama na kuzielekea, na katikati yao alisimama Yaazania, mwana wa Shafani; kila mmoja ana chetezo mkononi mwake, na harufu ya moshi wa uvumba ilipaa juu.

Kusoma sura kamili Eze. 8

Mtazamo Eze. 8:11 katika mazingira