Eze. 9:1 SUV

1 Kisha akalia kwa sauti kuu masikioni mwangu, akisema, Waamuru wale wanaousimamia mji wakaribie, kila mmoja na awe na kitu chake cha kuangamiza mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Eze. 9

Mtazamo Eze. 9:1 katika mazingira