Eze. 9:11 SUV

11 Na tazama, mtu yule aliyevaa bafta, mwenye kidau cha wino kiunoni, akaleta habari, akisema, Nimefanya kama ulivyoniamuru.

Kusoma sura kamili Eze. 9

Mtazamo Eze. 9:11 katika mazingira