Eze. 9:9 SUV

9 Ndipo akaniambia, Uovu wa nyumba ya Israeli na Yuda ni mwingi sana, nayo nchi imejaa damu, nao mji umejaa kupotosha hukumu; maana husema, BWANA ameiacha nchi hii, naye BWANA haoni.

Kusoma sura kamili Eze. 9

Mtazamo Eze. 9:9 katika mazingira