Ezr. 10:11 SUV

11 Sasa basi, ungameni mbele za BWANA, Mungu wa baba zenu, mkatende alipendalo; mkajitenge na watu wa nchi, tena na wanawake wageni.

Kusoma sura kamili Ezr. 10

Mtazamo Ezr. 10:11 katika mazingira