Ezr. 10:13 SUV

13 Lakini watu hawa ni wengi, tena ni wakati wa mvua nyingi, nasi hatuwezi kusimama nje, tena kazi hii si kazi ya siku moja, wala ya siku mbili; maana tumekosa sana katika jambo hili.

Kusoma sura kamili Ezr. 10

Mtazamo Ezr. 10:13 katika mazingira