Ezr. 10:15 SUV

15 Yonathani, mwana wa Asaheli, na Yazeya, mwana wa Tikwa, hawa peke yao ndio waliosimama kulipinga neno hilo; na Meshulamu, na Shabethai Mlawi, wakawasaidia.

Kusoma sura kamili Ezr. 10

Mtazamo Ezr. 10:15 katika mazingira