Ezr. 2:1 SUV

1 Basi hawa ndio wana wa wilaya, waliokwea kutoka katika ule uhamisho wa hao waliokuwa wamechukuliwa, ambao Nebukadneza, mfalme wa Babeli, aliwachukua mateka mpaka Babeli, nao wakarudi Yerusalemu na Yuda, kila mtu mjini kwake;

Kusoma sura kamili Ezr. 2

Mtazamo Ezr. 2:1 katika mazingira