Ezr. 2:59 SUV

59 Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; walakini hawakuweza kuonyesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;

Kusoma sura kamili Ezr. 2

Mtazamo Ezr. 2:59 katika mazingira