63 Na huyo Tirshatha akawaambia kwamba wasile katika vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
Kusoma sura kamili Ezr. 2
Mtazamo Ezr. 2:63 katika mazingira