Ezr. 3:3 SUV

3 Wakaiweka madhabahu juu ya msingi wake; maana hofu imewashika kwa sababu ya watu wa nchi; wakamtolea BWANA sadaka za kuteketezwa juu yake, sadaka za kuteketezwa za asubuhi na jioni.

Kusoma sura kamili Ezr. 3

Mtazamo Ezr. 3:3 katika mazingira