Ezr. 4:12 SUV

12 Ijulikane kwa mfalme ya kuwa Wayahudi, waliokwea kutoka kwako, wamefika kwetu Yerusalemu; nao wanaujenga ule mji mwasi, mbaya; wamemaliza kuta zake, na kuitengeneza misingi yake.

Kusoma sura kamili Ezr. 4

Mtazamo Ezr. 4:12 katika mazingira