Ezr. 4:14 SUV

14 Na sisi, kwa kuwa tunakula chumvi ya nyumba ya mfalme, wala si wajibu wetu kumwona mfalme akivunjiwa heshima, basi tumetuma watu na kumwarifu mfalme.

Kusoma sura kamili Ezr. 4

Mtazamo Ezr. 4:14 katika mazingira