Ezr. 4:5 SUV

5 Wakawaajiri washauri juu yao, ili kuwapinga kusudi lao, siku zote za Koreshi, mfalme wa Uajemi, hata wakati wa kutawala kwake Dario, mfalme wa Uajemi.

Kusoma sura kamili Ezr. 4

Mtazamo Ezr. 4:5 katika mazingira