Ezr. 5:1 SUV

1 Basi manabii, Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido, wakawafanyia unabii Wayahudi waliokuwako Yerusalemu na Yuda; waliwafanyia unabii kwa jina la Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Ezr. 5

Mtazamo Ezr. 5:1 katika mazingira