Ezr. 5:11 SUV

11 Wakatujibu hivi, wakasema, Sisi tu watumishi wa Mungu wa mbingu na nchi, nasi tunaijenga nyumba iliyojengwa zamani sana, yapata miaka mingi, ambayo mfalme mkuu wa Israeli aliijenga na kuimaliza.

Kusoma sura kamili Ezr. 5

Mtazamo Ezr. 5:11 katika mazingira