Ezr. 6:18 SUV

18 Wakawaweka makuhani katika kura zao, wakawaweka na Walawi katika zamu zao, kwa ajili ya huduma ya Mungu, iliyokuwako Yerusalemu; vile vile kama vilivyoandikwa katika chuo cha Musa.

Kusoma sura kamili Ezr. 6

Mtazamo Ezr. 6:18 katika mazingira