Ezr. 6:2 SUV

2 Na chuo kimoja kilipatikana huko Akmetha, katika nyumba ya mfalme iliyo katika wilaya ya Umedi, na ndani yake maneno haya yameandikwa ili yakumbukwe.

Kusoma sura kamili Ezr. 6

Mtazamo Ezr. 6:2 katika mazingira