Ezr. 6:20 SUV

20 Kwa maana makuhani na Walawi walikuwa wamejitakasa wote pamoja; wote walikuwa hali ya tohara; wakachinja Pasaka kwa ajili ya wana wote wa uhamisho, na kwa ajili ya ndugu zao makuhani, na kwa ajili ya nafsi zao.

Kusoma sura kamili Ezr. 6

Mtazamo Ezr. 6:20 katika mazingira