Ezr. 6:6 SUV

6 Basi sasa ninyi, Tatenai, liwali wa ng’ambo ya Mto, na Shethar-Bozenai, na hao wenzi wenu wa Kiajemi, mlio ng’ambo ya Mto, jitengeni na mahali pale;

Kusoma sura kamili Ezr. 6

Mtazamo Ezr. 6:6 katika mazingira