Ezr. 8:1 SUV

1 Basi hawa ndio wakuu wa mbari za baba zao, na hii ndiyo nasaba ya wale waliokwea pamoja nami kutoka Babeli, wakati wa kutawala kwake mfalme Artashasta.

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:1 katika mazingira