Ezr. 8:13 SUV

13 Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:13 katika mazingira