Ezr. 9:14 SUV

14 je! Tuzivunje tena amri zako, tukajiunge na watu wanaotenda machukizo hayo, kwa kuoana nao? Je! Usingekasirika nasi hata kutuangamiza kabisa, pasisalie mabaki yo yote, wala mtu wa kuokoka?

Kusoma sura kamili Ezr. 9

Mtazamo Ezr. 9:14 katika mazingira