Ezr. 9:8 SUV

8 Na sasa kwa muda kidogo tumeneemeshwa na BWANA, Mungu wetu, hata akatuachia mabaki yaokoke, akatupa msumari katika mahali pake patakatifu. Mungu wetu atutie nuru machoni mwetu, tuburudike kidogo katika kufungwa kwetu.

Kusoma sura kamili Ezr. 9

Mtazamo Ezr. 9:8 katika mazingira