8 Maana hakujua ya kuwa mimi ndiye aliyempa ngano, na divai, na mafuta, na kumwongezea fedha na dhahabu, walivyovitumia kwa ajili ya Baali.
Kusoma sura kamili Hos. 2
Mtazamo Hos. 2:8 katika mazingira