Hos. 3:5 SUV

5 baada ya hayo wana wa Israeli watarejea, na kumtafuta BWANA, Mungu wao, na Daudi, mfalme wao; nao watamwendea BWANA na wema wake kwa kicho siku za mwisho.

Kusoma sura kamili Hos. 3

Mtazamo Hos. 3:5 katika mazingira