1 Lisikieni neno la BWANA, enyi wana wa Israeli; kwa maana BWANA ana mateto nao wakaao katika nchi, kwa sababu hapana kweli, wala fadhili, wala kumjua Mungu katika nchi.
Kusoma sura kamili Hos. 4
Mtazamo Hos. 4:1 katika mazingira