12 Watu wangu hutaka shauri kwa gongo lao, na fimbo yao huwahubiri mambo; maana roho ya uzinzi imewakosesha, nao wamekwenda kuzini mbali na Mungu wao.
Kusoma sura kamili Hos. 4
Mtazamo Hos. 4:12 katika mazingira