Hos. 4:16 SUV

16 Kwa maana Israeli ametenda kwa ukaidi, kama ndama mkaidi; sasa je! BWANA atawalisha kama mwana-kondoo katika mahali penye nafasi!

Kusoma sura kamili Hos. 4

Mtazamo Hos. 4:16 katika mazingira