Hos. 4:15 SUV

15 Ingawa wewe, Israeli, unafanya uzinzi, lakini asiasi Yuda; nanyi msiende Gilgali wala msipande mpaka Beth-Aveni, wala msiape mkisema, Aishivyo BWANA.

Kusoma sura kamili Hos. 4

Mtazamo Hos. 4:15 katika mazingira