Hos. 5:5 SUV

5 Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; kwa sababu hiyo, Israeli na Efraimu watajikwaa katika uovu wao. Yuda naye atajikwaa pamoja nao.

Kusoma sura kamili Hos. 5

Mtazamo Hos. 5:5 katika mazingira