Hos. 5:6 SUV

6 Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng’ombe wamtafute BWANA; lakini hawatamwona; amejitenga nao.

Kusoma sura kamili Hos. 5

Mtazamo Hos. 5:6 katika mazingira