Hos. 7:10 SUV

10 Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; ila hata hivyo hawakumrudia BWANA, Mungu wao, wala hawakumtafuta kwa ajili ya hayo yote.

Kusoma sura kamili Hos. 7

Mtazamo Hos. 7:10 katika mazingira