Hos. 7:9 SUV

9 Wageni wamekula nguvu zake, naye hana habari; naam, nywele za mvi zimeonekana huko na huko juu yake, naye hana habari.

Kusoma sura kamili Hos. 7

Mtazamo Hos. 7:9 katika mazingira