12 Watakapokwenda nitatandika wavu wangu juu yao; nitawashusha kama ndege wa angani; nitawarudi, kama vile mkutano wao ulivyosikia.
Kusoma sura kamili Hos. 7
Mtazamo Hos. 7:12 katika mazingira