Hos. 7:13 SUV

13 Ole wao! Kwa kuwa wamenikimbia; uharibifu na uwapate! Kwa kuwa wameniasi; ingawa ninataka kuwakomboa, hata hivyo wamenena uongo juu yangu.

Kusoma sura kamili Hos. 7

Mtazamo Hos. 7:13 katika mazingira