Kut. 1:15 SUV

15 Kisha mfalme wa Misri akasema na wazalisha wa Waebrania, mmoja jina lake aliitwa Shifra, na wa pili jina lake aliitwa Pua;

Kusoma sura kamili Kut. 1

Mtazamo Kut. 1:15 katika mazingira