Kut. 1:7 SUV

7 Na wana wa Israeli walikuwa na uzazi sana, na kuongezeka mno, na kuzidi kuwa wengi, nao wakaendelea na kuongezeka nguvu; na ile nchi ilikuwa imejawa na wao.

Kusoma sura kamili Kut. 1

Mtazamo Kut. 1:7 katika mazingira