Kut. 10:12 SUV

12 BWANA akamwambia Musa, Nyosha mkono wako juu ya nchi ya Misri kwa hao nzige, ili wakwee juu ya nchi ya Misri, waile mimea yote ya nchi, yaani, vyote vilivyosazwa na ile mvua ya mawe.

Kusoma sura kamili Kut. 10

Mtazamo Kut. 10:12 katika mazingira