Kut. 10:14 SUV

14 Na hao nzige wakakwea juu ya nchi yote ya Misri, wakatua ndani ya mipaka yote ya Misri, walikuwa wabaya mno; hawajakuwapo nzige kama hao majira yo yote, wala baada yao hawatakuwa wengine jinsi hiyo.

Kusoma sura kamili Kut. 10

Mtazamo Kut. 10:14 katika mazingira